BINAMU NIHURUMIE IMEZIDI xx_________xxxxxx__________xx 1 - -- - - - - - 5 SEHEMU YA 1 "Hee wewe kaka J, huyoo ni Anna bhana kwahyo umemsahau?"

BINAMU NIHURUMIE IMEZIDI xx_________xxxxxx__________xx 1 - -- - - - - - 5 SEHEMU YA 1 "Hee wewe kaka J, huyoo ni Anna bhana kwahyo umemsahau?"

Alikuwa anaongea Dina ambae ni dada yake na Justin au mdogo wake wa kike niseme kwa hivyoo alikuwa aneleza kuwa post aliopost pale ni, alikuwa ni mimi hapa maana aliomba namba yangu tayari, mhh kama vile alikuwa ananitaka " Wee Ana umeona Kaka J, alivyoo ety kaomba namba yako ya simu hhhhh duuh 🤭😅😆, ila kaka J bhana Mungu anamuona." alisema Dina akiwa ananambia mimi hapa kuhusu kaka yake, nilijisikia vizuri maana alikuwa ananichekeshaa tu duuuh 😔, "Kwamba Brow J , hanifahamu au kanisahau ama?, ila Brow J bhana hhhhhh Mungu anamuona" nilimwambiaa Dina na tukacheka kwa pamoja "hamna tatizo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments