AASSH MAMA WA KAMBO 1 - 5 01 🔞 Baada ya ya kufunga chuo, niliona bora nisiende kijijini, nikaamua kubadilisha tu mji kutoka Tawi la Mzumbe university

AASSH MAMA WA KAMBO 1 - 5  01 🔞  Baada ya ya kufunga chuo, niliona bora nisiende kijijini, nikaamua kubadilisha tu mji kutoka Tawi la Mzumbe university

kuelekea mjini Bukoba ambapo baba alikuwa akiishi. Baba yangu aliamua kuachana na mama baada ya ugomvi wa muda mrefu uliotokea baada ya baba Kuamua kubadili dini akawa muislamu ili kumfuata mama yangu kidini Hata hiyo baba alipoondoka nyumbani hakututelekeza bali kila mara alitutumia peaa ya matumizi na ada pamoja na za maendeleo lakini alirudia dini yake na kuanza kuishi na mwanamke mwingine huko ambaye tulikuwa hatumfahamu ila tulisikia tu fununu kwamba ana mke mwingine. Nilimwambia nakuja nyumbani kwake kwa ajili ya kwenda kumuona, na kujua anapoishi kwa ajili ya matumizi ya baadae kwani nilikuwa mimi ndo mtoto wa kiume pekee.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments