😂 CHIZI MLA NDOGO WAKE ZA WATU🔥1..4 SEHEMU YA KWANZA. ( Onyo ukiwa mtoto au ujakomaa akili usisome simulizi hii) Mume wangu unataka kumfukuzia nini uyo chizi.

😂 CHIZI MLA NDOGO WAKE ZA WATU🔥1..4  SEHEMU YA KWANZA.  ( Onyo ukiwa mtoto au ujakomaa akili usisome simulizi hii)  Mume wangu unataka kumfukuzia nini uyo chizi.

" Asubuhi yote hii anakuja kwenye nyumba za watu si aende majalalani uko. " Mume wangu kabla ujafa ujaumbika acha kumchukia chizi Kiasi icho. " Mke wangu uyu mimi simtaki akae balazani kwangu asubuhi yote hii. " Mume wangu akupenda kuwa ivyo uyo inawezekana ameshikwa na njaa acha nikampe chai anywe. " Wewe mke wangu sikuelewi uyu chizi ni ndugu yako au? " Hapana unajua mimi ata baba yangu mdogo ni chizi Kwaiyo najua jinsi ya kuishi nao hawa. " Wengine wanakuwa wapelelezi hawa. " Zamani uko sio sasa yani mbinu igundulike alafu iendelee kutumika apana acha ayo mawazo. "

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments