
Cheaters,, has he/she ever cheated on you?. Was it twice or thrice๐ค. Kufikia sasa venye tunaishi kwa hii dunia,, huwezi mshawishi nyani kwamba pesa ni tamu kuliko ndizi na akuelewe๐. Namaanisha, mbwa siku zote yeye anaamin kwamba mfupa ni tamu kuliko nyama๐,, I mean kufikia sasa huwezi mbadilisha mtu aliyezoea kucheat,, already ashajuwa mfupa(wengine) ni tamu kuliko nyama(wewe)๐๐ญ. Mbna acheat sasa๐ช. MADAM Stacy alishangaa kutuona tunafika late sana๐. Hakujuwa it was planned by her younger sister ๐ช.. miss drama mwenyewe๐.. They way stacy was talking, hata kipofu angeona kwamba in one way or the other, kuna kitu alikuwa amefurahishwa nacho
0 Comments