*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________*   *SEHEMU YA 01*  "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"

Tulitoka mbio na kuelekea pared,  mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo,   tulikuwa kwenye mazoezi,  vikosi vyote tulikutana hapo, na baada ya hapo tulifanya pared  yanguvu kidogo,   na kisha alisimama kiongozi wa vikosi vyote,  tulimpa heshma kwa kutoa sarut,  aliitikia nae kisha alisema: "Vikosi vyote makamanda,  tunapaswa kufanya maandalizi,  kwani kesho kutakuwa na ugeni,  General  Ethane  atakuwa hapa,  nadhani mnamjuwa,  huwa  hapendi makosa, hivyo tukitoka hapa wakuu wa vikosi wote tukutane  ukumbi wa mkutano sawa"? Wakuu wa vikosi vyoote,   waliitikia na kutii amli ya kiongozi,  kisha  tulipomaliza mazoezi ya pared,  tuliruhusiwa tukaenda   mabwenini, kwani muda wamazoezi pia ulikuwa umeisha, 

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments