
___________________________________* *SEHEMU YA 16* Kisha shangazi slimpigia simu mjomba na kumpa taarifa: "Mumewangu hapa nyumbani kunamgeni, mgeni mwenyewe ni mama yake na Laura hivyo nimeona nikupe taarifa, anataka kumuona mwanae" "Mkewangu subili kwanza, Laura yupo hapo nyumbani? "Ndio yupo Mumewangu" "Subili nakuja hapo sio muda, sitaki aumie Laura wangu" "Sawa japo ameomba amuone wakati nakupa taarifa kama yeye yupo" "Hapana nakuja hapo" Mjomba alitoka na kuanza safari ya kurudi nyumbani, ili kuja kuzuia nisiumie kabisa, kwani nimuda mrefu sana usema ukweli hata sura ya mamaangu siijui kabisa, ninajuaga mama mzazi hayupo duniani yaani amefariki, kwani haji hata kuniona, na ndio
0 Comments