I LOV U DADY💘❤️💘 01

I LOV U DADY💘❤️💘 01

Njooni niwasimulie hadithi yangu leo😂😂😂wangapi humu mliolewa na wachumba msiowafahamu? Yani mi my wenu ndoa yangu ilikuja kama kimbunga ghafla tu shwaaa jiandae unaolewa kibaya zaidi mtu anaenioa wala sikuwa namfahamu😂 Yani maisha ya kijijini jamani😂😂😂unalala singo kesho unaamka unaambiwa jiandae unaolewa😴 That time nimehitimu form four wakati nasubilia matokeo nilikuwa tu home kwa wazazi wangu sina jipya nipo nipo tu.. Siku moja nimetoka zangu mizungukoni nikakuta gari kali pale nje kwetu mmhhh sisi mbona hatuna ndugu tajiri mwenye gari hili gari ni lanani😂😂 nikakimbilia ndani kuchungulia kunani😩😩nimefika ndani nikakutana na ugeni mzito😳nikashangaaa hawa kina nani?? Kucheki vizuri nikamuona mama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments