ILA KWA MPARANGE 😢 Sehemu ya tatu. 3,4,5 👉 Shoga mjibu maana kakufata wewe uyu...👇

ILA KWA MPARANGE 😢  Sehemu ya tatu. 3,4,5  👉 Shoga mjibu maana kakufata wewe uyu...👇

Wewe kaka Samahani mimi umri umeenda purukushani za nje ndani za vijana wadogo siziwezi shika elf 20 hii mtafute msichana ukamalize kiu yako tuendelee kuselebuka. " Sawa hii 20 itanisaidia Kesho acha nikaliwashe goma. ( Mwenye Goma uyo kaenda kuliamsha tena anayo 20 mfukoni agawani na wenzie alipiga mipigo yote nyimbo kama zote hapo watu wanaserebuka...uku mama sauda anayamwaga mauno...vijana wa ovyo wanamdunga dunga na raha ya ngoma mwanamke mbele mwanaume nyuma...upande wa sauda uku yupo ndani na shoga yake wameongea wamechoka wanachungulia dirishani wanaona watu wanavyoselebuka...na wao wanacheza ndani uku mpaka kungwi alipofika anampa bi harusi maneno ya mwisho

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments