
SIMLIZI: Police alihakikisha niko salama Akasema binti unaweza kwenda nyumbani au tukupeleke . Mmh nikasema naweza Afande nikanyuka sasa Kumbe ile sumu ilionekana niliyopewa Nimuulie yule mwanasiasa Mmh . Wewe binti hebu tulia Hiii nini police wakaitana jamani huyu binti anasumu kali sana hivo binti uko chini ya ulinzi Kuanzia sasa Songa nayoo 👇👇👇 Daaah jamani hiii sasa ndiyo kesi kubwa Niliwaza sana moyoni pilly alinisogelea akaninong'oneza imekuwaje rafiki mbona bado sumu unayo Mmh pili rafiki yangu najua umepambana sana ili Unikomboe lakini kwa hili sas imebaki neema ya mungu tu . Ikitokea nikafingwa mtafute kijana anaitwa mika Mwambie kila
0 Comments