
________________________________ Burudan Simulizi πππππππππππ “Oliva siwez kwenda kulala hadi nihakikishe umelala” “mi sina usingz sir ungeenda tuu” “Na mimi sina usingizi pia” “Basi sir twende seblen ukanifundishe hesabu za logarithm zinanshinda sanaa” “pumzika kwanza, unajua unaumwa” “Hapana sir nko vizuri sahz” “kweli Oliva” “Ndio sir” Basi tulitoka hadi sitting room pale akaleta vitabu na madaftari yake ya Zaman akawa ananifundisha pale huku ananisisitiza nikichoka nimuambie, alinifundisha hadi masaa mawili kisha akaniambia inatosha twende ukalale, nkamwambia sir mimi sna usingizi, basi akaniambia “akili yako inabidi irelax mamaaa sawa eeeh ( alinshangaza aliponiita hivyo), alinipa sim yake nicheze gem kidogo uku natafta
0 Comments