KIJIJINI KWETU 01---05 *SEHEMU YA 01 ❤️🔞 "Tony mme wanguuu!!" bibi aliniita nje "naam mke wangu!" nilimwitikia "niletee ugoro

KIJIJINI KWETU  01---05 *SEHEMU YA   01  ❤️🔞 "Tony mme wanguuu!!" bibi aliniita nje "naam mke wangu!" nilimwitikia "niletee ugoro

wangu haraka nina uchu hapa!" "sawa bibi ila kumbuka ugoro ni hatari kwa afya yako mke wangu!" "ningeshakufa kitambo kama ingekuwa ni hivyo tangu navuta sasa zaidi ya miaka ishirini sasa" bibi alinijibu tukiwa tumezoeana kuitana mke na mume na bibi yangu huyu mzaa baba Nilitoka na kumpa ugoro wake akiwa amekaa kwenye kiti cha kamba amenyoosha miguu akiota jua la saa moja asubuhi Muda huo wasichana kadhaa wa kijijini walikuwa wakipita na ndoo na vyungu vyao kichwani wakienda kuchota maji kisimani wakawa wakinitazama kunishangaa jinsi nilivyo njia nzima wakiniangalia tu "bibi kwani kisimani ni mbali sana na hapa?" "unataka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments