KUNA MASISTERDU NA WAHALIFU WAKUBWA

KUNA MASISTERDU NA WAHALIFU WAKUBWA

Unaweza ukajiona wewe ni sisterdu kumbe ni mjinga fulani tu hivi, mturutumbi na mgalatia 1. Sisiterdu ni msafi wa mwili na muonekano hata anapoishi panavutia kweli. Sisiterdu huwa hawezi kuwa mchafu wa mwili au anapoishi 2. Sisiterdu havai nguo zinazonesha utupu wake kwa watu isipokuwa kwa mtu wake tu. Humtananisha mwenza wake ukiona unavaa nguo zioneshazo utupu wake kwa watu huyo si sisterdu ni mjingan na mdangaji fulani tu😎 3. Sisiterdu huwa anajimudu kwenye mambo madogomadogo hana njaa ziondoazo utu wake. Kwahiyo wewe kama una njaa zako dada wewe ni mturutumbi tu tafuta kazi ya kufanya 4. Sisiterdu ana misimamo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments