
yake alikuja akapiga hodi akafunguliwa na mama yangu, mam alimkaribisha kisha akaja kuniita nikatoka sebleni nikamkuta amejitulia zake sebuleni amekaaa kwenye mkeka maan hatukuwa hata na makochi, aliinua macho akanitizama jinsi nilivyoumia maana nilitoka nimefunga khanga na t-shirt lenye mikono mifupi, kwahyo kuna sehemu za miguuni zilikuwa zinaaonekana na sehemu za huku mikononi pia zilikuwa zinaonekana ukijumlisha na rangi yangu hivyoo makovu ni rahisi kuonekana, nilisogea karibu yake nikakaa pembeni yake, mama nae akatuacha akatoka nje "Pole Asmy, kwa yaliokukuta sawa mpenzi wangu?" Nilitabasamu tu sikumjibu alinisogelea akanikiss kwenye paji la uso "Unateseka sana au nikuoee nikutoee kwenye haya mateso?"
0 Comments