LIGI KUU NBC KUREJEA JUNI 18.

LIGI KUU NBC KUREJEA JUNI 18.

by Loveness Bernard LIGI Kuu ya NBC inarejea juni 18 ikiwa ni mzunguko wa 29 huku michezo yote hiyo itakayochezwa viwanja mbali mbali ikitarajiwa kuanza saa 10:00 alasiri. Mchezo wa kwanza utachezwa uwanja wa CCM kirumba Pamba Jiji inayotafuta uhakika wa kusalia Ligi Kuu ya NBC itaikaribisha timu ya JKT Tanzania, huku Namungo ikiikaribisha Kagera Sugar iliyoshuka daraja katika uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi. Timu ya Dodoma Jiji itakuwa mwenyeji wa timu ya Singida Black Stars katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na Mashujaa itaialika KMC katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. Kwa upande wa KenGold iliyoshuka daraja itakuwa mwenyeji

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments