
1. Heshimu watu pesa huisha 2. Marafiki zako kazini si marafiki 3. Ukifanikiwa usidhani wengine ni wazembe 4.Ukipata shukuru ukikosa shukuru 5. Usidanganye ili upate kazi, uongo una una mwisho 6. Kila mtu ana uzuri na ubaya wake 7. Ukitaka kufanikiwa epukana na pombe na uzinzi 8. Katika maisha kuna wakati utakuwa na huzuni na wakati wa furaha, kubali yote mawili 9. Usiogope kusonga mbele na kupiga hatua 10 .Usiangalie wanasema nini kukuhusu wewe fanya kila uwezalo 11. Ipo siku nyota yako itang'aa kuwa mnyenyekevu tu 12. Acha kumbukumbu nzuri kule uendako 13. Wewe ni mzuri kwao tu wakati una
0 Comments