
Max alifika karibu na dala kabla hata ya salamu Dala akasema. " Ehee unasemaje na wewe? " Mbona unanipokea kwa ukali? " Usinipotezee muda nina mambo mengi ya kufanya . " Mmmm punguza jazba kwanza waungwana wakikutana wanasalimiana alafu mambo mengine yanafuata. Habari yako. " Salama. " Dala naomba unipe muda tuongee. " Huoni kama huu ni muda wa kazi? " Naweza kulipia ilimladi tuongee tu. " Siwezi kurudia kosa. " Najua nilikukera sana siku ile lakini nitakupa hela yako pia kuna swala lingine naomba tujadili tukikubaliana nitakulipa laki 5 kwa mwezi. Dala alishituka na kumuangalia max usoni alipotajiwa hiyo
0 Comments