❤❤ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya nne. πŸ‘‰ Mke wangu unanisaliti...πŸ‘‡ ( Mke alikata simu na akazima...jamaa akipiga tena namba unayopiga aipatikani...chozi

❤❤ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya nne.   πŸ‘‰ Mke wangu unanisaliti...πŸ‘‡  ( Mke alikata simu na akazima...jamaa akipiga tena namba unayopiga aipatikani...chozi

la kiume likawa linadondoka anakumbuka maneno ya side wa kazini akawa amejiinamia hawa anamuuliza) " Baba nini kimetokea? " Mama yako yupo na baba yako alizani wewe ndio unapiga simu akataka ampe baba yako uonge nae kinaniuma zaidi wapo kitandani. ( Hawa anaona ndoto ya kusomea ufundi inayayuka alichosema) " Baba nyamaza nenda kalale upumzishe akili. " Usingizi auwezi kutoka kama alikuwa anajua awezi kuachana na baba yako kwanini amekubali nimuoe ananiongopea kaenda kwenye shughuri kumbe kaenda ku😭😭. ( Alishindwa kumalizia kwikwi ya hasira imemshika...hawa ametulia ajui aseme nini...jamaa akaingia ndani anatamani aonge kwa mtu aya ila anaogopa kutoa siri

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments