*MY POOR BILLIONEA HUSBAND* * *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

*MY POOR BILLIONEA HUSBAND* * *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

" Dada nachanganyikiwa mdogo wako sijui hata nifanye nini. " Hiyo ni hatari lakini unatakiwa umsikilize pia usisahau kufanya uchunguzi na kama utahitaji msaada wangu basi usisite kuniambia kipenzi. " Sawa. Baada ya masaa mawili kupita Tamina alipokea simu kutoka kwa Arshan na kumtaja ajiandae anataka waendee sehemu. Tamina alikubali akamshikikisha dada yake , Sasha akamshauri aende. Tamina akijiandaa na kuvalia nguo yake nzuri. Alipokuwa tayari alimpigia simu Arshan na kumwambia yupo tayari. Baada ya dakika kumi kupita ilifika gari nyumbani kwa kina Tamina . Arshan alimpigia simu na kumtaka atoke nje apande hiyo gari. Tamina alikuwa na wasiwasi sana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments