
Ndio nampoteza bwana angu au?...wakati nawaza uku nina hamu na simu yangu ila ndio siwezi kumwambia dada nipe...mama akasema) " Wanangu msiwe na wasiwasi acha niende kwa kaka yangu alafu kaka ndio ataongea na baba yenu. " Sawa mama. ( Mama akaondoka yani yupo mbio mbio anataka kutupa furaha wanawe yani anaenda kwa mjomba alipofika akaongea nae uko vizuri mala akaja nae mjomba akamwita baba akaanza kumpa somo) " Shemeji acha vumy akasome mjini. " Wewe ujajua tu mjini kuna mambo mengi kule. " Hata uku vijijini yapo wangapi wanaishia darasa la sana itakuwa pili kafika kidato cha pili. "
0 Comments