
( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) π Mke wangu asemi kitu anaongoza msafara wa kuchukuliwa chumba yani ni mke ninayempenda anaenda gest na rafiki yangu, Dah yani...π Kweli walifika gest na mke wangu akapanda kitandani kulala akiwa na nguo zake, Rafiki yangu akutaka kufosi penzi alimuacha alale kwanza alipoamka mke wangu akamwambia rafiki yangu, " Naomba uniache niombe taraka alafu wewe ulete barua unioe siwezi kuhishi na mwanaume mfiraji mimi ata siku moja. " Rafiki yangu anaona hapo sawa tu akutaka kufosi penzi anataka mimi nitoe taraka, Sasa rafiki yangu yule akanipigia simu akaniambia, " Mwanangu ivi mkeo
0 Comments