NIPE YOTE DADY๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž31

NIPE YOTE DADY๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž31

NIPE YOTE DADY๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž31 Nilienda ofisini kwa selim kwa lengo la kwenda kumwelezea hali halisi ilivyo ili angalau aweze hata kunifariji๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข Baada ya kufika huko nilikuta mambo tofauti๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญnilimkuta Jeni akiwa amekumbatiana na selim wanapeana๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜nilibaki nimesimama tu nawaangalia.. Waliachiana baada ya kuniona Jeni akatoka na kuja kunikumbatia kwa furaha huku akisema kanimiss, nilizuga na kujifanya nafuraha ili asije kuhisi tofauti. Tulikaa na kuanza kuulizana za siku na mambo mengine, mda huo Selim alikuwa akijifanya kuwa bize wala sikutaka hata kumsumbua nilivyoona nimekaa kaa mda mfupi niliaga na kusema kuna mahari naenda kisha nikatoka na kuingia kwenye gari. Moyo wangu ulijaa uchungu na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments