
kuomba anioe ,ili nimlele mtoto wake . Mie nikamuangalia ,Kisha nikamwambia Robert nisikudanganye Kwa kihi ulichokifanya labda niwe mfanyakaz Kwa mwanao ila sio kuolewa na wewe ,maana kama umeweza kunifanyia Mimi iv na hata hunijui tumekutana ata wiki hatuja malizia Afya yangu yenyew hunijui sembuse wanawake wengine uko nje . Yan umeamua kuhidhuhirisha tabia yako kwangu na Bado unategemea Mimi apa Shaima nikubali unioe ili uniletee ukimwa nyumbani . Nilimkatalia Robert katakata ,na nikamwambia Kam hutak kuipeleka iyo cm chaji aiache Hapohapo aondoke maana Mimi kumuita akaniwekeee simu chaji nimekuwa mjinga Tena . Yan Kwa mpaka sasa aliyonifanyia Robert inatosha
0 Comments