
kututukana anatamani ila ndo hawezi 😂😂.Kabaki anatuangalia tuu. Na kwel Robert na ndugu zake wakafanikiwa kufika nyumbani kwetu morogoro ,Ila Kuna kitu cha kushangaza kilitokea maaan baba angu alikataa kupokea mahari akidai kuwa mie sio mwanae ,Han mtoto wa dizani yangu mtoto nisie sikia la mkuu . Wageni wakawa wanashangaa ,nilivyopigiwa kuambiwa ivo moja Kwa moja nikajua nikazi ya dada angu iyo ,kasema upuuz wake Kwa baba . Ila baadae mama akambembeleza baba na kumwambia kuwa hii ni familia yangu ijayo wanayoiongelea na baba anatakiwa arudishe moyo wake nyuma kwaajili yangu na ya familia yangu ijayo .Mam alikuwa akikwambia baba
0 Comments