𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa

𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________  SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa

anamuuliza mama ake ,"kwani mama we umejuaje kuhusu ili . Mama ake akamwambia wewe ulivyokuwa unamuita dokta Julius kisirisiri ulijua hatoniambia au . Yan we mtoto cjui umekuwaje Yan uo uwanajesh wako uo usiniletee Mimi kabisa . Robert akaanza kujitetea Kwa mama ake eti anamwambia ila Mimi hii mbona ni bahat mbaya tu sikudhamilia ,kabla hajamalizia sentensi yake mama akampiga makofi mawili ya shavu la uku na na upande mwengine . sasa mama kwann unanipiga alieuliza Robert ,Mama ake akamjibu ata siku moja usiwaze Wala usije ukadhubutu kumuumiza mwanamke ulie lala nae ,we huoni aibu unaongeaje ivo eti bahat mbaya.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments