𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________ SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert

𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________  SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert

vipi kuhusu mchumba wako Pendo annajua kuhusu ili. Robert akafikiria kidogo ,Kisha akamjibu mama ake ,Mama Mimi sitoki na Pendo sasaiv tumeshaachana mda sana . Mama mtu akamuuliza Aya kisa cha kumuacha Pendo wawatu ,anashida yoyote wewe sasa ujinga umekujaa kichwani Yan sijui ata nilikuzaaje wewe ,Yan umekuwa kama marehemu baba Ako. Robert akasema mama ,Mimi sio kama yeye sijawai kutelekeza familia yangu . Mama ake akamuangalia Kwa. muda Kisha akamuuliza Aya uyu wa sasaiv vp maaaan Ata jina lake simjui . Robert akadakia anaitwa Shaima mama. Mama ake akajibu sawa ndio iyo Shaima sijui shaimu Aya unampango gani nae

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments