
SHEMU WANGU MTAMUU 🫦🔥5 nakuhitaji sana sasha wangu nilimjibu unajua ilivyo ngumu lakini sindio eeh basi niache kwanza nipe muda nifikilie kwamuda ndio nitakujibu sawa Haya twende nyumbani tumuwahi mtoto atakuwa mwenyewe nyumbani tuondoke sasa Shemeji alinishika usoni na kuniambia sasha wangu nakupnda sana naomba usinikimbie tafadhari nakuomba Kilakitu niachie mimi hata dada yako hatojua chochote nakuhaidi hilo naomba sana usinikimbie nakupenda mno Nilimjibu sawa usijali nipe muda nitakujibu sawa haya tuondoke sasa na usije kulia hivi mbele yangu tena unanifanya nilie pia Shemeji Alex alini😘😘na nakuniambia sawa nimeelewa lakini nimoyo ndio unalia hata nikijizuia nashindwa Nilimshika mikono nakumuambia shem
0 Comments