SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI*❤️‍🩹 *______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI*❤️‍🩹 *______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

Siku moja Irene alienda kuwatembelea alimkuta Dala na shalon wakiwa nyumbani, walikaa pamoja na kuongea mambo mengi na dala kuhusu Shalon pamoja na malezi . Dala na Irene walikuwa wamekaa nje na shalon alikuwa ndani anafanya homework. " Hivi dada Irene mama yake shalon amefariki mwaka gani? Irene alishangaa. " Wewe nani kakwambia kuwa amefariki? " Huwa najua hivyo. " Mama yake Shalon hajafariki yupo hai . " Kheeee sasa yuko wapi na mbona tangia nimekuja sijawahi kusikia akiongea na mtoto wake? " Mmmmh Dala sio kila mtu anaweza kuwa na moyo wa kibinadamu wengine wana roho za kinyama. Hilda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments