
ILIPOISHIA..., Akaachia mshonyo mkali, huku akiongea kwa sauti ya chini chini, akisema, " mmh!, yani hata ukisikia nimechanganyikiwa ndo nikufanyie wema mtu kama wewe?!, utasubiri Sana kwa hilo, sasa subiri furaha yako yaja, mimi ndo mama Vero wa ukwee e! ". Turi alisikia maneno hayo vizuri tu, Lakini, hakuelewa ni nini mama yake alikuwa anakimaanisha!, maana ametoka kuongea naye kwa upole na bashasha muda si mrefu!, ila, Turi akaamua kujipa imani, huku akajisemea kimoyo moyo, "labda itakuwa ni watu wake wa kwenye Vikoba wamesha mkera tayari, maana mama naye, mmh...!,mmh...!, mmh...!". Lakini, Turi alipotoka nje, alimkuta mama yake pamoja na
0 Comments