
kuwa mazoezini ndio kulikuwa na mechi kali na ubabe mwingi kuliko kwenye mechi, hii ilitokana na ukweli kwamba Makocha waliruhusu viatu vitembee sana na mazoezi yawe magumu. Sasa punde baada ya Ronaldo kurejea mazoezini kuungana na wenzake baada ya kumzika Baba yake Mzazi, alidribble mpira ghafla akapigwa kiatu na Ruud Van Nisterloy hapo hapo Kocha Msaidizi Carlos Queroz akapuliza filimbi kuwa ni faulo na Cristiano apige mpira huo. Ghafla Ruud akaropoka “Naona Baba yake amefariki na sasa amepata Baba zake wengine” 😀 Hiyo kauli ilimuuma sana Ronaldo na paliwaka sana mazoezini, Babu Fergie akasogea kutazama ni nini, akaambiwa kuna kauli
0 Comments