Sophia (Urvashi Sharma) binti anayeendesha maisha yake Goa

Sophia (Urvashi Sharma)  binti anayeendesha maisha yake Goa

Sophia (Urvashi Sharma) binti anayeendesha maisha yake Goa alifuatiliwa na kushambuliwa na mbakaji aliyeitwa Rakesh. Baadaye anaamua kuhamisha makazi yake Dubai anapanga nyumba ya tajiri aliyeitwa Karan Oberoi (Bobby Deol). Miezi sita baadaye Karan anafikisha ombi la kutaka kumuoa na binti analikubali. Muda mfupi kabla ya ndoa Sophia anakutana na mwigizaji anayejitafuta anayeitwa Vikram 'Vicky' Malhotra (Akshay Khanna) anavutiwa naye sana ila anaamua kuendelea na mpango wake wa ndoa. ila alikuja kubadilika akiwa madhabauni alipoamua kumkataa Karan na kumdhalilisha vibaya kisha akaenda zake kwa Vicky. Jambo lile lilipelekea Karan kuumia na kuchukua uamuzi wa kujiua. Sophia alipokuja kujua alijuta sana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments