
Jamaa yuko smart sana,muda wote anasubiri mshambuliaji afanye movement ya kwanza kisha yeye anaingia kuondoa uchafu.
Jamaa anafanya interception,sliding tackle na standing tackle kwa utulivu na umakini mkubwa sana….mbele yake mtu anaondoka ila mpira unabaki.
Kama siyo yeye jana zingefika 3 au 4.
Soma zaidi
0 Comments