
1. Baba hulipia karo hata kwa kutumia mkopo 2. Baba huhakikisha watoto wake wako salama 3. Baba akiwa na msongo wa mawazo huwa anayaficha moyoni 4. Baba hahitajiki kulia kulingana na utamaduni wa jamii 5. Baba hujituma, kutumwa hata anajisahau yeye mwenyewe 6. Baba anaweza kuvaa nguo moja kwa mwaka ili watoto wale 7. Baba ni kiongozi katika jamii 8. Baba ni kielelezo cha tabia njema katika masuala mengi 9. Baba ni mpambanaji 10 . Baba huwa hafai kukosa la kuchangia( hasa kifedha) kulingana na jamii 11. Baba ni mbebaji wa mzigo wa familia, matatizo yote huletwa kwake 12. Baba
0 Comments