UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)*_____________________________________* *SSEHEMUYA 3 na 4

UDHAIFU WA MR CEO (dawa ya nini wakati kwako napona)*_____________________________________*  *SSEHEMUYA  3  na   4

mwamba kama anaanza Nikashangaa kunogewa vile, maana akawa ananikiss huku anahema juu juu kama mtu ambae amepoteza muelekeo, nikaona huyu anaelekea kutaka zaidi ya busu, nikajitoa mwilini kwake, akaniachia ila mnara ulishasoma zamani sana, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema unaweza. kwenda sasa.. Nilikurupuka na kuondoka, sikutaka kupoteza muda kuendelea kukaa pale, asije kunibadilishia mada bila kutegemea, nikaondoka zangu.. Basi nimeyoka pale na mawazo ya kutosha, nikawa nawaza imekuwaje, mpaka kwanza akawa anaogopa kelele kiasi kile, na kwanini amelala na mimi na hali ya kuwa hata hanijui, nilikuwa nataman kumlaan, nataman kumtukana ila sikuwa najua hata naanzia wapi, maana kwanza nilikuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments