
Washindi Wakuu ⚡Ballon d’Or kwa wanaume: Ousmane Dembélé (Paris Saint-Germain na Ufaransa) ⚡Ballon d’Or kwa wanawake: Aitana Bonmatí (Hispania na Barcelona) washindi wa Tuzo nyingine ni 1. Kopa Trophy (Mchezaji kijana bora wa kiume): Lamine Yamal (Barcelona) 2. Kopa Trophy (mchezaji kijana bora wa kike): Vicky López (Barcelona) 3. Yashin Trophy (Kipa bora wa kiume): Gianluigi Donnarumma (PSG) 4. Yashin Trophy (Kipa bora wa kike): Hannah Hampton (Chelsea) 5. Gerd Müller Trophy (Mfungaji bora wa kiume): Viktor Gyökeres (Sporting CP) 6. Gerd Müller Trophy (Mfungaji bora wa kike): Ewa Pajor (Wolfsburg) 7. Johan Cruyff Trophy (Kocha bora wa kiume): Luis
0 Comments