
Alianza kuishi na mimi, alikuwa mtu poa tu, sikuona tatizo, ilivyofika miezi tisa nikamuomba niende nae kijijini make niliogopa kumuacha mwenyewe kwangu ata kama namuamini ila sio kwenye nyumba aisee, watu wanabadilika,alikubari, mdogo wangu Judith, aliniletea vitu vyote muhimu, na pesa laki mbili na nusu, niliondoka kumbe siku hio nimeondoka ndio siku mama kafunga safari kuja kunihudumia, hakujua kama nina ondoka na tulikuwa hatuelewani kila ukimpigia lazima akugombeze nikapunguza kumtafuta kwa usalama wangu... Sasa ata hakuuliza alikuja tu anakutana na mkufuri ya kutosha tu,funguo nilimwachia baba, sasa kumbe mama ata hakumuaga mme wake, kafika anapiga simu sipatikani, sikuwa napend kuongea
0 Comments