ALI SALIM AIMALIZA SIMBA SC ♦️♦️♦️

ALI SALIM AIMALIZA SIMBA SC ♦️♦️♦️

ALI SALIM AIMALIZA SIMBA SC ♦️♦️♦️ Kuna ule usemi unasema kikulacho ki nguoni mwako, Huu usemi umetokea leo kwa Simba SC, Goli kipa Ali Salim hakuwa vizuri kimchezo leo, na hata magoli mawili aliofungwa ni wazi kabisa hakuwa timamu kimwili na kiakili pia, Hakukuwa na jinsi kwa maana Camara aliumia na Ali ndio mbadala wake, Mpira ni mchezo wa makosa kosa moja linaweza kugharimu timu Kwa kiasi kikubwa sana, Goli la pili pekee lilitosha kabisa kuimaliza Simba SC na kuitoa kwenye mchezo, All in all asamehewe bure tu, Naimani hata yeye anajutia kosa lake.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments