*MY FOREVER MAN 💘* *1-5* *__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA*

*MY FOREVER MAN 💘* *1-5* *__________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*

Ilikuwa majira ya saa moja jioni kamila alikuwa amekaa kwenye jumba lake la kifahari katika seble yake iliyopambwa na vitu vya thamani aliendelea na kazi zake za ofisini huku pembeni kukiwa na grass ya juice ya passion. Akiwa anaendelea na kazi zake mara mlango Mkuu wa kuingilia ndani ulifunguliwa kwa nguvu akaingia mpenzi wake kijo. Kijo alisimama mbele yake akawa anamuangalia huku akiyumba yumba. " Inamaana hunioni mpenzi. Kijo aliuliza Kamila alivua miwani yake ya macho akamuangalia vizuri alafu akasimama. " Kijo umerudi tena ukiwa umelewa na unaweza kuniambia ulikuwa wapi kwa siku tatu? Kijo alitoa tabasamu dogo lenye dharau.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments