BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA-11..12

BALAA LA NYUMBA  ZA KUPANGA-11..12

BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA-11..12 ILIPOISHIA_ "chukua hii kadi utantafuta kwa mda wako nkupe mzigo wako ila kwa sharti la kulala na mm "(nlimwambia huk namwangalia kam ataichuka!! Endelea aliniangalia kwa huruma huku machozi yakimtoka ckumwonea huruma mana aliniudhi kunikumba alafu hata saman hii ndo njia ya kumkomesha "lakin kaka kwan ukinsaidia 2 ukanipa huo mzgo utapungua nini kakangu" "kwan na wewe pale uliponikumba ungeniomba samahan ungepungua nini kwa mfano"? "nsamehe kaka nko chini ya miguu yako bosi ataniuwa mimi nsaidie"(aliongea huk akilia na kunpigia magot) "we naona huna shida kam ukiuitaji utantafuta kwaheri" "hapana subiri basi njoo 2ongee kakangu"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments