
CAREEN Sehemu ya 16 Mwandishi: Maramoja The Great Simulizi za john 0789 824 178 @topfans Fulll 1500 zotevseason mbili Nikanyanyuka nikaenda kuoga, nikaludi kupata chakula cha usiku. Sasa mala akaingia kaka yangu John na rafiki yake. Mama akawaalikwa kwa furaha zote, maana kaka hakuwa amekuja muda mrefu nyumbani ingawa ana kaa hapa Dar. Anasema kazi zinambana sana. Akawaambia, "Mmekuja na mguu mzuri, kalibuni mezani." Wakaja wakae, mama akawapakulia chakula, na baba naye alikuwepo, akafurahia sana. Baba akasema, "Yani John, Dar hii hii hutaki kuja kuniona baba ako kweli?" Kaka ancheka akasema, "Busy basi." Na yule rafiki wake. Kaka akasalimia kwa
0 Comments