CAREEN Sehemu ya 17

CAREEN Sehemu ya 17

🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶 CAREEN Sehemu ya 17 Simulizi za john 0789 824 178 @topfans 1000 Basi tukainjoy sana na mpenzi iyo siku tulikunywa na kupiga sana story, pombe zilivyokolea tukawa karibu sana, yani usiku mzima hatukulala. Tumekuja achiana saa 10, nimechoka hoi, ndo nikalala. Sasa nimekuja kustuka saa 4 na kijua cha asubuhi kishachomoka. Nikaangalia pembeni namkuta bado Kharid amelala, basi nikaanza kumchunguza, asa huyo mwanaume alinichanganya kweli. Nikamuamsha na yeye ndo anaamka. Akasema, “Nimechoka baby, bado nahitaji kulala.” Nikasema, “Uo uvivu twende tukaoge.” Apo sijawasha simu tangu nilivyoizima jana. Tukaoga, tukaagiza breakfast na supu tutoe hangover za pombe kwanza. Tukapata breakfast.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments