
🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶 CAREEN Sehemu ya 8 Mwandishi; maramoja the great. Simulizi za john 0789 824 178 Full 1000 Baba akanambia yani careen ww mtoto umeshindwa pata ata chet mwNangu kweli umepiga zero wewe mtoto mbona una mambo ya ajabu ungekuwa ujafanana na mm ningesema mama ako kanisingizia ww sio mwanangu mbona una mambo ya ajabu nilibaki kimya nilishindwa ata kujitete Baba akasema nataka nikupeleke chuo ukatumia chet chako cha form four upate deploma ya business nikuingize kwenye kampuni zangu ,nikasema baba mm sitaki kusoma bwana mm sielewag ntazid kukutupia pesa zako, baba akanambia kazi nnayo mm kwa uyu mtoto sasa unataka
0 Comments