CAREEN Sehemu ya 9 na 10

CAREEN Sehemu ya 9 na 10

CAREEN Sehemu ya 9 Mwandishi; maramoja the great. Simulizi za john 0789 824 178 Full 1000 Apo nikapunguza umapepe biashara ilikua inanikeep busy mnoo nafunga usiku saa 4 nakua nimechoka naludi home kulala asubuh nafungua saaa2 kila siku so kidogo nilikua busy ata club sikuenda siku nyingi Siku iyo nipo zangu dukani akaja mkaka mzur nakwambia bonge la handsome kumuona mpka nilistuka nakwambia mana kajazia juuu, mrefu uyo kapendeza ananukia sio powa , akanisamilia hellow nikasema hellow kalibu , akanmbia nataka nguo za mtoto wa miaja saba n a miaka 3 wote wa kiume, nikasema jamani kalibu zipo nyingi mnoo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments