MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 04

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??  NO: 04

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 04 Nilibaki najiiuliza mwenyewe hata sijui nimjibu nini eeeh Mala akaingia Najma na kuniuliza vipi Irene unaendeleaje Nilimjibu nibora ningekuwa darasani hata ningepata nafuu kuliko kuja huku ndio kwaanza nimekitibua kichwa Najma kulikoni kivipi ulipaswa kulala upumzike dawa zifanye kazi Nikamjibu sihuyo Chris alinifuata tangu naingia mpaka sasa hivi niyeyetuu nilie kuwa napigizana nae kelele nimbishi sana kuelewa Najma ila kiukweli Chris safari hii naubabe wake woote umemteka hukweli tena Maana hajuagi kubembeleza akikutaka hata umkatae yeye atawatuma watu wanakuja kukubeba kwa nguvu Nawalimu kesizake wamezichoka hawamfanyi chochote Navile ukizingatia ni mtoto wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments