
MIMBA YA BEST MAN 3----4 03 Maneno ya Yasini yalikatishwa tamaa mulk alijikuta anahuzunika lakini hakuwa na jinsi aliamua kulala. Kesho yake waliamka na kupata kifungua kinywa baada ya hapo Mulki alikaa karibu na mume wake na kuanza kumpapasa ili kuamsha hisia zake lakini Yasini alitoa mkono wa Mulki na kwenda kusimama nje ya kibaraza. " Huyu ana matatizo gani? Mulki alijiuliza kisha akaamua kumfuata huko nje. " Mume wangu mbona sikuelewi una shida gani? " Mulk hapa nilipo nimechoka na hekaheka za harusi ungenipa muda kidogo nipumzike baada ya hapo tutafanya unachotaka mimi ni wako nipo na wewe siku
0 Comments