
CAREEN Sehemu ya 18 Mwandishi; maramoja the great Simulizi za john simulizi za dr john 0789824178 1000 Nikanyanyuka kwa hasira nikaanza kuvaa nguo zangu, akasema “asa unaenda wap kwan si bado tulikua tunaongea na story mpenzi wangu.” Nikasema “muite mkeo aje muendelee na story, nilishachukia.” Akaja akanishika mkono akaniambia “sikia Careen, samahani nimekosea usinikasilikie, mwenzio nakupenda sana.” Basi ile kuniambia vile nikalewa kabisa nikasema “kweli?” akasema “yes baby, punguza hasira unamuonea wivu mtu ambaye hayupo ata Dar.” Nikasema “si nimesikia anakuja kwa ajili yako?” akaniambia “tulia baby, mimi ni wako tu forever.” Basi akanikumbatia nikapoa nikakaaa. Nikasema “mimi nakupenda sana
0 Comments