
NIPE YOTE DADY ???????????? SEHEMU YA 13~14 Selim aliniuliza umetoka wapi??niliwaza nikaona hapa nikijifanya najua kuongea nitapigw cha kufanya nilikua mpole???????? nikapiga magoti na kusema.. "kaka naomba unisamehe nilijua nitatoka mara moja tu ila kwa bahati mbaya nimechelewa Aliniangalia kwa hasira na kuniuliza "nani kaka yako?" "si si si wewe hapo????????" "Norah acha ujinga, hivi ulikuwa wapi siku nzima mbona unakuwa kama mtoto kweli unaondoka bila hata kuaga na simu unazima unajua nimekuwa na mawazo kiasi gani?" "samahani kaka sitarudia tena" "nani kaka yako?" "basi samahani binamu "alinisogelea karibu na kuniuliza "mimi ni nani yako?" "Dah the way alikuwa ananiangalia
0 Comments