
Anaandika Ahmed Ally Kurwa aliandika barua ya kujilizaliza Jana Kamshawishi Doi nae aandike malalamiko tena aweke na vitisho eti atajitoa kwenye mashindano, Yaani Doi nae anatishia watu, timu ina miezi sita tangu ianzishwe na yenyewe inaitishia mamlaka Wameona haitoshi sasa wanawatumia Vibaraka wao kwenye Media kuhamasisha mgomo kwa Vilabu vingine Vibaraka bila hata kupima ukweli wa jambo wanatoa taarifa Vilabu sita vimeandika Malalamiko na hawatocheza mechi zilizobaki bila hata kutaja vilabu husika Yaani afungwe Doi halafu Azam aandike Malalamiko au afungwe mbadilisha majina kila siku halafu JKT asusie ligi?? Sisi tutaendelea kushinda mechi kadri Allah anavyotujaalia na kadri tunavyokua bora
0 Comments