
PENZI LA SINGLE MAMA By kelvin mlowe (0699286085l) EPISODE 1 UTANGULIZI Kwa majina naiwa Goodluck “Katika maisha yangu, sikuwahi kuwaza kuwa siku moja ningependa mwanamke mwenye mtoto. Nilidhani mapenzi ni kati ya vijana wawili waliopitia chuo au waliokutana mjini au kijijini, na siyo mwanamke mwenye mtoto niliamini kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawasawa kuanza mechi matokeo yakiwa 1 bila on the score board . Sio mimi hata kijiji chetu cha kiberege kilipinga suala hilo .... Na watu waliadhibiwa kwa kutengwa au kufukuzwa kijijini hapo kijiji chetu kilichozungukwa na milima ya Uluguru, ndipo moyo wangu ulipoandika hadithi yake
0 Comments