CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 4. Ilipoishia… “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani

CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 4. Ilipoishia…  “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani

, maana chakula cha leo ni kitamu sana!” Alisema mjomba. “Na wewe hata siku moja sijakusikia kusema chakula ni kibaya” “Sasa kama unapika chakula kizuri nisiseme?” “Kizuri wapi, si useme tu kuwa haujui kupika!” “Nani, mimi, hahahaha kumbe haunijui vizuri eeeeh!” “Aaah maneno tu hayo!” Alisema shangazi huku akirembua macho yake kimahaba. “Maneno, subiri siku moja nije kukupikia chakula hicho, utafurahi na roho yako!” Alijibu mjomba “Nitafuahi na roho yangu kwa jinsi kitakavyokuwa hakijaiva eeeeh!” “Khaaa, hakijaiva, subiri uone!” “Harafu nikwambie kitu mume wangu?!” Alisema shangazi huku akimshika shika mjomba ndevu chache alizokuwa nazo maarufu kama uchebe. …Songa nayo…. “Nakusikiliza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments