
UNAAMBIWA SIMBA waliamua kutumia nguvu kidogo dhidi ya RS Berkane kwenye Mashindano Kombe la Shirikisho Barani Afrika wakaenda mbali zaidi wakajitoa kwenye Kombe la Muungano na ili wawekeze nguvu kwenye mashindano ya ndani na badala yake wametolewa kwenye Kombe la CRDB Cup, Mpaka sasa hawana uhakika kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu. Kiufupi kuna uwezekano wa kutoka PATUPU Msimu huu huku watani zake YANGA wakiwa na uhakika wa kubeba TREBBLE. . FT: SIMBA SC 1-3 SINGIDA BLACK STARS 67’—⚽️ Jean Charles Ahoua 16’—⚽️ Jonathan Sowah 34’—⚽️ Emmanuel Keyekeh 48’—⚽️ Emmanuel Keyekeh . ✅ SIMBA SC wanatolewa kwenye Mashindano ya CRDB Cup
0 Comments